Mfumo wa POS wa Lodge

Mfumo rahisi na wa kisasa wa kusimamia lodge: vyumba, wageni, malipo na ripoti zote kwa sehemu moja.

  • ✔ Usimamizi wa Vyumba
  • ✔ Kuingiza na kutoa Wageni (Check-in / Check-out)
  • ✔ Ufuatiliaji wa Malipo
  • ✔ Ripoti za Kila Siku
  • ✔ Booking za vyumba (WhatsApp)

Imetengenezwa na ANGLE ICT SOLUTIONS